CHEKASAN

Vunjika mbavu!

Sunday, February 27, 2011

Wazinzi wabadilishane chupi?

Ikiwa wacheza mpira hubadilishana jezi mwisho wa mechi ikiwa ni ishara ya FAIR PLAY Je? kuna ulazima wazinzi nao wabadilishane chupi kila wamalizapo kufanya ngono? Na ingekuwa hivyo wewe ungekuwa na chupi ngapi za ile jinsia nyingine?

No comments:

Post a Comment