CHEKASAN

Vunjika mbavu!

Thursday, May 12, 2011

Mlevi

Mlevi mmoja baada ya kuyatwika matindi kwa sana akaingia choo cha kike badala ya cha kiume, chooni humo akamkuta mwanamke mmoja kamwambia "This toilet is for the ladies" Yule mlevi akatoa uume wake na kusema " And this is for the ladies too"