CHEKASAN
Vunjika mbavu!
Friday, March 11, 2011
Kasuku mwenye matusi
Mfuga kasuku alimrudisha kasuku kwa muuzaji ili ambadilishie kwa kuwa huyo anayemrudisha ana matusi sana, muuzaji akampa mwingine akamwambia huyu mstaarabu sana akiinua mguu wa kulia juu anaongea kingereza akiinua wa kushoto anaongea kihindi. Mfugaji akamuuliza muuzaji Je akiinua yote miwili? Kasuku akadakia " Kuma la mama yako, si nitaanguka fala nini wewe?
Sharobaro
Sharobaro alienda Loliondo kwa babu kutibiwa, akapewa dawa kwenye kikombe, akasogea chini ya mti akasimama kwa muda mrefu kabla hajainywa huku mkono mmoja kashikilia surali isianguke, Babu akamuuliza mbona hunywi dawa? akajibu NASUBIRI MRIJA MEN!
Tuesday, March 1, 2011
Mjomba Anyenje!
Mmakonde mmoja aligongwa na nyoka kichwani, sasa jamaa zake wakaamua wamfunge kamba shingoni kwa kuzuia sumu isisambae mwilini, kabla hawajamfikisha hospitali akafa, wakarudi nyumbani wakamzika. Baada ya mazishi watu wakawa wanauliza kwani Anyenje nini kimememuua? mmoja wao akasema "Kilichomuua njomba Anyenje siyo yule nyoka alikangonga kichwani bali ile kamba tulikamfunga nayo shingoni!
Kisa cha Masai na Makonde!
Mmasai na Mmakonde walikuwa wamepanda basi moja wakielekea Morogoro Mmasai akawa anamtazama sana Mmakonde kisha anamnong'oneza mwenzie halafu wanacheka. Mmakonde akawa ashajua wanamcheka yeye lakini hakujua nini anawachekesha ndipo akaamua kuwauliza
Sasa nnacheka cheka nini? Mmasai alajibu
Hapana Mzee ni tunaulisana kama ile simba nakurarua usoni uliiua? Mmakonde akaijibu na nyie chimba alikuwachania machuka yenu mulimuua?
Samahani
Samahani naomba msaada wako, najua wewe una uzoefu kidogo na ulisomea kilimo na ufugaji Eti kuku anatombwa au anafirwa? Jibu haraka nipo katika semina.
Masai
Mmasai alimuona jamaa anaenda chooni na kopo lenye maji akamuuliza
Rafiki leo mukundu yako nasikia kiu? Jamaa akamjibu
Aaah acha usenge kuma la mamako, kafirane na simba porini huko!
Rafiki leo mukundu yako nasikia kiu? Jamaa akamjibu
Aaah acha usenge kuma la mamako, kafirane na simba porini huko!
Ndoa
Jamaa mmoja alioa, katika siku yake ya kwanza ya ndoa alimuuliza mkewe
"Una hakika mimi ndio mwanaume wa kwanza unalala nae?
Mke akajibu
"Haswa laaziz, wengine wote tulikuwa hatulali tunapigana pumbu tu short time tu!
Subscribe to:
Comments (Atom)