Sharobaro
Sharobaro alienda Loliondo kwa babu kutibiwa, akapewa dawa kwenye kikombe, akasogea chini ya mti akasimama kwa muda mrefu kabla hajainywa huku mkono mmoja kashikilia surali isianguke, Babu akamuuliza mbona hunywi dawa? akajibu NASUBIRI MRIJA MEN!
No comments:
Post a Comment