Mmakonde mmoja aligongwa na nyoka kichwani, sasa jamaa zake wakaamua wamfunge kamba shingoni kwa kuzuia sumu isisambae mwilini, kabla hawajamfikisha hospitali akafa, wakarudi nyumbani wakamzika. Baada ya mazishi watu wakawa wanauliza kwani Anyenje nini kimememuua? mmoja wao akasema "Kilichomuua njomba Anyenje siyo yule nyoka alikangonga kichwani bali ile kamba tulikamfunga nayo shingoni!
No comments:
Post a Comment