Mmasai na Mmakonde walikuwa wamepanda basi moja wakielekea Morogoro Mmasai akawa anamtazama sana Mmakonde kisha anamnong'oneza mwenzie halafu wanacheka. Mmakonde akawa ashajua wanamcheka yeye lakini hakujua nini anawachekesha ndipo akaamua kuwauliza
Sasa nnacheka cheka nini? Mmasai alajibu
Hapana Mzee ni tunaulisana kama ile simba nakurarua usoni uliiua? Mmakonde akaijibu na nyie chimba alikuwachania machuka yenu mulimuua?
No comments:
Post a Comment