CHEKASAN

Vunjika mbavu!

Friday, March 11, 2011

Kasuku mwenye matusi

Mfuga kasuku alimrudisha kasuku kwa muuzaji ili ambadilishie kwa kuwa huyo anayemrudisha ana matusi sana, muuzaji akampa mwingine akamwambia huyu mstaarabu sana akiinua mguu wa kulia juu anaongea kingereza akiinua wa kushoto anaongea kihindi. Mfugaji akamuuliza muuzaji Je akiinua yote miwili? Kasuku akadakia " Kuma la mama yako, si nitaanguka fala nini wewe?

No comments:

Post a Comment