Siku moja mwalimu alikuwa anafundisha kwa bahati mbaya akajamba wanafunzi wakamcheka sana mwalimu akaona aibu mno akaomba likizo, likizo ilipoisha akaingia darasani kabla hajaanza kufundisha akauliza enhe tuliishia wapi? wanafunzi wakajibu pale ulipojamba mwalimu. Ungekuwa wewe ungefanya nini?
No comments:
Post a Comment