CHEKASAN

Vunjika mbavu!

Thursday, February 10, 2011

Mama mkwe!

Inakuwaje Mama mkwe anapomueleza mkwewe kuwa ana wasi wasi kuwa mtoto aliyezaa si wa mwanae?
Mama-Binti samahani lakini, kusema ukweli mtoto hafanani na kijana wangu kabisa"
Binti- Mama bila samahani, huku chini nina anjia ya uzazi na sio fotokopi mashine!

No comments:

Post a Comment