Dhambi si ufisadi pekee,hata kumiliki wapenzi wengi wakakuna wenzio hawana hata mmoja sio vizuri hebu waonee huruma na wenzio wapate japo huyo mmoja hata kama ni UESD atam Flash! Hasa ktk kipindi hiki cha Valentine! Tuma msg hii kwa kila unayemdhania kuwa na wapenzi wengi kama nilivofanya kwako.
No comments:
Post a Comment