CHEKASAN

Vunjika mbavu!

Saturday, February 26, 2011

Mpenzi

Jibu moja tu ndio sahihi
Mpenzi wako hukupa mapenzi
(a)Kwa sababu anakupenda?
(b)Kwa sababu amekuzoea?
(c) Kwa sababu hana wa kumpa atfanyaje?
(d)Au nanakuuzia bila wewe kujua?
Saidaneni kujibu wewe na mpenzi wako.

No comments:

Post a Comment