CHEKASAN

Vunjika mbavu!

Saturday, April 9, 2011

Kiswahili cha Mkurya!

Ndugu sangu tumekucha hapa maarum kwa chambo moja tu. Mama Chacha kafirwa na kaka yake usiku wa kuamkia reo. Chambo ra kufirwa si chambo ra mcheso, ukifirwa unaumia sana na chambo hiri sio ra mtu mmocha tu, reo kafirwa Mama Chacha, kesho nitafirwa mimi, keshokutwa utafirwa wewe. Yaani kira mtu razima afirwe tu!

1 comment: